Cl. 1:
Mwana wa Siti
Cl. 2:
Wana wa Siti
Cl. 3:
Mhono wa Siti
Cl. 4:
Mihono ya Siti
Cl. 5:
Gari la Siti
Cl. 6:
Magari ya Siti
Cl. 7:
Shiyo sha Siti
Cl. 8:
Ziyo za Siti
Cl. 9:
Nguo ya Siti
Cl. 10:
Nguo za Siti
Cl. 11:
Uso wa Siti
Cl. 14:
Unafiki wa Siti
Cl. 16 :
Pvanu pvwa / vwa Siti
Cl. 17 :
Hunu hwa / ha Siti
Cl. 18 :
Munu mwa Siti